“Kenya Airways (KQ) inathibitisha kwamba mnamo Alhamisi, Oktoba 12, mwendo wa saa 4:30 asubuhi, makao makuu ya shirika la ndege la Kenya Airways yalipata taarifa kuhusu uwezekano wa tishio la usalama kwenye ndege ya KQ100 inayohudumu kutoka Nairobi hadi London Heathrow,” shirika la ndege la Kenya lilisema kwenye taarifa.